Majira |
---|
Maswali kadirifu |
1. Msimu wa jua kali huitwa ____.
2. Msimu wa mvua nyingi huitwa _____.
3. Msimu wa mvua ndogo ndogo huitwa _____ au _____.
4. Msimu wa baridi shadidi huitwa ______ .
5. Hali ya nchi kukauka kwa kukosa maji,malisho na mavuno huitwa _____.
6. Kishuka huliwa wakati wa?____________
7. Kiporo huliwa lini? _______________
8. Jua huchwa lini? _________________
1. adhuhuri 2. jioni
3. alasiri 4. mawio
5. magungulianyama 6. mafungianyama
7. usiku mchanga 8. usiku mkuu
9. machweo 10. asubuhi