Visawe |
---|
Maswali kadirifu |
Hayawani, chudi, njozi, matatizo, ugani, wahaka, nilihama, wanalandana, zawadi, kurunzi, ngeu, aushini, soka.
1. Mtoto huyu alikuwa na bidii kupita kiasi.
2. Askari alitumia tochi kumulikia.
3. Usiku huo nilipata ndoto ya ajabu.
4. Maishani mwangu sijalaza damu.
5. Masaibu yaliponizidia, niligura mjini.
6. Wanafunzi walicheza kandanda huku uwanjani.
7. Niliingiwa na wasiwasi m wenzangu alipokosa kufika.
8. Huko msituni, tulimwona mnyama wa ajabu.
9. Ndugu hao wanafanana kama Kurwa na Doto.
10. Aliposhinda, alipata tuzo.
a) mpagazi b) msichana c) adabu d) duni
e) makao f) huzuni g) afya h) aibu
i) moyo j) mwizi k) busara l) kasoro
m) kimatu n) cheo p) shamba q) umri
r) bingwa s) dalili t) dhiki u) fikiri
a) konde b) chemchemi c) nderemo d) ngedere e) ibada
f) daawa g) ijara h) umahiri i) masaibu j) gombo
k) ngamizi l) shauku m) ndwele n) kibali p) panka
q) kambarau r) siha s) kuzimu t) nikaha u) pululu
v) mlozi w) mkwasi x) mwele y) mwangazi