Mapambo

- Mapambo hutumiwa kuongezea uzuri au urembo.

- Kuna aina tele za mapambo. Yaangalie yafuatayo:

Mapambo na yanakovaliwa

Puani – kipini, kishaufu/kikero/hazama/shemere

 

Sikio – kipuli/bali/herini, mapete, pingo

 

Kichwani – taji, shela

 

Usoni – chale/tojo/gema/nembo/taruma, ndonya, jebu/ukaya, kigwe, barakoa, wanja

Shingoni – mkufu, kidani, ushanga, tai

 

Mikononi – bangili, pete, hina, wanja, usinga, nembo, kikuku, kekee, pochi, Jaribosi

 

Kiunoni – masombo/kibwebwe, mshipi, kogo

 

Miguuni – furungu, hina, milia, udodi, njuga, wanja



  • K.4.20.1 by eLimu used under CC_BY-SA
  • K.4.20.2 by eLimu used under CC_BY-SA
  • K.4.20.3 by eLimu used under CC_BY-SA
  • K.4.20.4 by eLimu used under CC_BY-SA
  • K.4.20.5 by eLimu used under CC_BY-SA
  • belt by Olena fashion tv used under CC_BY-SA
  • bracelet by Fusion Knots used under CC_BY-SA
  • Image-12_pete by Google+ used under CC_BY-SA
  • Image-7_kipuli by Etsy used under CC_BY-SA
  • Kipini by Fashion walk used under CC_BY-SA
  • legs by Various sources used under CC_BY-SA
  • tai by Messness used under CC_BY-SA
  • Taji by Wikipedia used under CC_BY-SA
  • ushanga by Vivian feiler designs used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.