Maswali kadirifu

 

1. Ala ya muziki muziki mfano wa gitaa inayofanana na banjo huitwa ________. 

2. Ala ya muziki inayopigwa kwa kutumia nyuzi kama gitaa na kitako cha duara huitwa ________.

3. Ala ya muziki iliyotengenezwa kwa ngozi iliyowambwa kwenye mduwara wa pipa au mzinga huitwa ________. 

4. Ala ya muziki yenye kukota, ________. 

5. Tarumbeta ndogo, _________. 

6. Ala ya muziki inayopulizwa na kutoa sauti, __________.

7. Ala ya muziki mfano wa sanduku kubwa inayopigwa kwa kubonyeza vibonyezo au  vibanzi vya rangi nyeusi na nyeupe huitwa ________. 

8. Ala ya muziki iliyo na umbo la sanduku iliyotengenezwa kwa kwa mbao na kuwekwa vipande vya mbao juu yake ambavyo hutoa sauti tofauti vinapopigwa kwa virungu huitwa ________.