Home
Kiswahili TC
Kusikiliza na Kuongea
Maamkuzi
Kusikiliza na Kuongea
Maamkuzi
Methali
Vitendawili
Shairi
Tarakilishi
Viungo vya mapishi
Hotuba
Vikembe
Mazungumzo
Usafiri majini
Maamkuzi
by
Olpha
Janduko
6
Maamkizi na adabu.
Taja
mifano
ya
maamkizi
.
Maamkizi
hutegemea
,
Wakati wowote.
Asubuhi.
Jioni.
Kuagana.
Usiku.
Umri.
Wakati
wowote
Maamkizi
Jibu
Habari? Nzuri
U hali gani? Njema
Waambaje? Sina la kuamba
Hujambo? Sijambo
Shikamoo? Marahaba
Huu wakati gani wa siku?
Asubuhi
Maamkizi
Jibu
Sabalkheri? Aheri
Umeamkaje? Salama
Wakati
huu
salamu
zake
gani
?
Jioni
Maamkizi
Jibu
Umeshindaje? Salama
Masalkheri? Aheri
Nini inafanyika katika hii picha?
Kuagana
Maamkizi
.
Jibu
Kwaheri ya kuonana. Kwaheri ya kuonana.
Tuonane tena. Majaliwa
Unadhani
huu
ni
wakati
gani
?
Usiku
Maamkizi
.
Jibu
Lala unono. Pia nawe
Alamsiki. Binuru.
Umri
Ni
nini
inafanyika
kwenye
picha
hii
?
Shikamoo
?
Tathmini
Toa majibu ya maamkizi haya.
Tuonane tena -
Alamsiki -
Waambaje? -
Tuonana tena -
Habari? -
Shikamoo? -