Maamkuzi |
---|
Methali |
Vitendawili |
Shairi |
Tarakilishi |
Viungo vya mapishi |
Hotuba |
Vikembe |
Mazungumzo |
Usafiri majini |
6
Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze kueleza maana ya tarakilishi Maana ya tarakilishi...
Tarakilishi ni kifaa cha kielektroniki cha kuhifadhi, kukokotoa na kuchanganua taarifa zilizoingizwa pamoja na kuongoza mitambo mbalimbali.
Tarakilishi pia huitwa Kompyuta