Viungo vya mapishi  by  Ruth Odachi

6

Hebu tazama picha hizi kwa makini

Naam, bila shaka umeona mapochopocho na maakuli ya kudondoa mate 

 Mapochopocho haya yameandaliwa na viungo vya mapishi kama ; 
  • Nyanya
  • Dhania
  • Vitunguu
  • Tangawizi
  • Chumvi
Je, kuna viungo vingine?
 
Hebu vitaje viungo vingine vya mapishi.
 

Viungo hivyo ni;

 
  •  Binzari
  •  Masala
  •  Roiko
  •  Kitunguu saumu
  •  Pilipili
 

Jibu maswali yafuatayo

 
1) Taja viungo  viwili vya mapishi aina ya  mboga.
2) kiungo aina ya madini kinachoongeza ladha kwa chakula huitwa____________ 
3) viungo vya mapishi vina umuhimu gani?
 

Majibu ya maswali 

  1.  dhania ,karoti,kitunguu
  2.  chumvi
  3.  hufanya chakula kuwa  laini na kukiongezea ladha murua.



  • 0431104e-00e2-40b0-887f-bcc30cbf6482 by elimu used under CC_BY-SA
  • 0d3b983a-4c01-469a-8607-30fc2d3406a5 by elimu used under CC_BY-SA
  • 4a863173-de70-4ce7-a605-848b8aba7498 by elimu used under CC_BY-SA
  • 59784f17-76f7-4608-b972-3bcbd892877b by elimu used under CC_BY-SA
  • 60221f13-3d40-455a-94f5-6ca29c5ecea3 by elimu used under CC_BY-SA
  • b0ac67c2-6fa3-42cb-b0c1-664474263ae1 by elimu used under CC_BY-SA
  • b6de84e7-673e-4d49-8a0b-fa9b4f7abcbb by elimu used under CC_BY-SA
  • b782115e-4eac-44c8-96a5-94453c02001c by elimu used under CC_BY-SA
  • f506e955-9a5b-40c4-a7c6-e43b6800c8c7 by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.