Usafiri majini  by  Olpha Janduko

6

Usafiri wa majini.

Usafiri wa majini uhusisha vyombo ambavyo hutuwezesha kusafiri au kusafirisha mizigo kutoka sehemu moja hadi nyingine kupitia kwenye maji au majini.

Waona nini katika hizi picha?

Meli

 

Metaboti.

Merikebu

Mtumbwi

Manowari

 

Zoezi.

Taja majina ya vyombo vya usafiri wa majini unavyoviona.
 
Majibu
Dau
Mchoro
Feri
Nyambizi.
 
 



  • 2b094696-660e-4124-b4be-13c3df8fd705 by elimu used under CC_BY-SA
  • 6e96e5b1-0549-4049-b1af-ceca6d5c9518 by elimu used under CC_BY-SA
  • 7756ee84-1b9a-42e0-97f4-cd53ba8a728e by elimu used under CC_BY-SA
  • 7b8c3fcf-dbb3-4c5e-aa29-c094a83e698d by elimu used under CC_BY-SA
  • 8f933de0-d259-45b8-ab5b-7eb2f89c1a9a by elimu used under CC_BY-SA
  • aacd5070-21e5-4ad5-a763-e23131f3c1a1 by elimu used under CC_BY-SA
  • b801e6a4-ee86-4f17-86d4-8e6c9085ce6b by elimu used under CC_BY-SA
  • cb626e1c-4969-407b-9fb8-68d7a81eb78e by elimu used under CC_BY-SA
  • ecf1dd89-8d00-4fdc-9b40-36074d250fcf by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.