Viashiria radidi by
Pius Mungai
6
Maana ya kiashiria
Kiashiria hutumika katika kuonyesha katika wingi ni viashiria. Katika sentensi ifuatayo...
"Mtoto huyu".
Huyu ni kiashiria
Viashiria radidi
Viashiria radidi hujirudia tu.
Mifano ya viashiria radidi
Katika ngeli ya A-WA
Mtoto huyu huyu
Katika ngeli ya LI-YA
Wingu hili hili
Katika ngeli ya U-I
Mti huu huu
Katika ngeli ya I-ZI
Kutunga sentensi za viashiria radidi
1.Mtoto huyu huyu anacheka.
2.wingu hili hili limetanda.
3.Mti huu huu ni Mparachichi.
4.simu hii hii ni ya baba
Mifano zaidi ya viashiria radidi
- Hiki hiki
- Huyu huyu
- Haya haya
- Hii hii
- Huu huu
Zoezi
Jaza nafasi kwa kutumia viashiria radidi
1.kiatu___________ni kipya.
2.Gari______ _____ni jipya.
3.shamba ____ _____limelimwa.
4.Nyumba ____ ___ni ya shangazi.
5.Ugali______umepikwana mama
Majibu sahihi
1.hiki hiki.
2.hili hili.
3.hili hili.
4.hii hii.
5.huu huu.