Kauli ya kutendewa na kutendewa by
Ruth Odachi
6
Kutendewa ni mnyambuliko kutokana na kitenzi tenda. Kutendewa ni hali ya kitendo kufanyiwa kwa niaba ya mwengine.
Hebu tazama picha hii
Mvulana huyo alipakiwa jivu usoni. Alipakiwa jivu ina maana kuwa kuna aliyemfanyia kitendo cha kumpaka rangi usoni pake.
Soma Mifano hii kwa sauti
- Funga _____ fungiwa.
- Soma _____ somewa.
- Piga _____ pigiwa.
- Shangilia _____shangiliwa.
Andika vitenzi hivi katika kauli ya kutendewa
- Fagia ______.
- Ruka _____.
- Imba ______.
- Fungua _____.
Tazama picha hizi Kisha uandike sentensi katika kauli ya kutendewa
Majibu yanayotarajiwa
- Abiria wanasafiria kwenye mtumbwi.
- Mimea inapaliliwa na akina mama.
- Viongozi wanaimbiwa na waimbaji.