Matumizi ya 'enye' na enyewe  by  Mary Komen

6

Hutumika kuonyesha hali ya kumiliki au kuwa na kitu fulani kinachotajwa. Unapotumia ENYE katika sentensi, usifuatanihe ___enye na kitenzi. Katika sarufi sentensi yako huitakuwa sanifu.

 

Mifano katika sentensi

  • Mwalimu mwenye gari = garini lake
  • Mtoto mwenye mzigo = anamzigo au mzigoni wake

Usiseme

  • Gari lenye lina beba
  • Mtu mwenye anakimbia
  • Mtoto mwenye anakuja

Sema

Mtoto ambaye anakuja/mtot oanayekuja/mtoto ajaye.

Mtu ambaye anakimbia/mtu anayekimbia/mtua kimbiaye.

Gari ambalo linabeba /gari linalobeba/gari libebalo.

ENYEWE

Ni kivumishi cha pekee ambacho huunganishwa na kiambishi awali ili kuafiki sarufi. Kivumishi hiki huleta dhana tofauti katika matamshi ya lugha.

 

Mifano:1 Hutumika kuonyesha mmiliki wa kitu

Sentensi

1.Kitabu hikini cha mwenyewe (pasi na kumtaja jina)
 

2. Mtoto mwenyewe ameanguka akaumia (pasi na kumtaja jina)

 

3. Gari lile limeegeshwa hapa na mwenyewe (pasi na kumtaja jina)

 

 

Hutumika kuonyesha kuwa kitu kilichokusudiwa bila kubadilishwa na kingine,

  • Mtoto mwenye weamefika mapema kabla yangu.
  • Kitabu kilichochapishwa ni chenyewe.
  • Uwanja wenyewe umetunzwa ukatunzika.

 

Hutumika kuonyesha kuwa nomino iliyotajwa iljisababisha pasi na msababishi. Hutumika badala ya kiambishi. Ji-- cha nafsi.

  • Mtoto alianguka mwenyewe.
  • Gari lile liianguka lenyewe.
  • Mti mkubwa ulianguka wenyewe.

 

Hutumika kama kiwakilishi.

Mwenyewe amechukua kitabu kilichokuwa hapo
wenyewe tunafaa kutekeleza wajibu wetu ili amani idumu.
Chenyewe kilianguka chini kikavunjika.
 

TANBIHI

  • VIVUMISHI HALISI.
  • ENYE NA ENYEWE.
 
ZOEZI
  1. JIKO _____linamakaa
  2. Sahani _____ uchafuhaitumiki.
  3. Mtoto _____ ni _____ sautinzuri.
  4. Barabara _____utelezihaipitiki.
  5. kitabu cha _____ hakisomwibilaidhini  yake.
  6. Mwalimu _____ uadilifugangenihukuzajina lake _____.
 



  • 1909bc8d-40a8-4d59-b553-0f602c5c334d by elimu used under CC_BY-SA
  • 5652b637-247a-40ff-9bcd-baa09008251c by elimu used under CC_BY-SA
  • 68ab02b5-45f6-4546-9cb7-86b4046fff6f by elimu used under CC_BY-SA
  • c552a44a-c6c0-4106-adca-42b251f325e6 by elimu used under CC_BY-SA
  • d373558b-2a33-4623-bb34-0612fb93e444 by elimu used under CC_BY-SA
  • d71b7d05-b7a2-443f-9f43-0d4e75177c4f by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.