6
SHABAHA
Kufikia mwisho was kipindi mwanafunzi aweze kutumia -ndi pamoja name ngeli.
Hutumika Pomoja na Ngeli mbalimbali.
Taja baadhi ya ngeli katika lugha.
NGELI
A-WA
U-I
I-ZI
KI-VI
LI-YA
U-ZI
I-I
U-YA
U-U
Ngeli ya A-WA
Ndiye- umoja
Ndio-wingi
Wingi
Wanafunzi ndio waliofunzwa darasani.
Ndicho - umoja
Ndivyo - wingi
Tunga sentensi kwa umoja na wingi ukitumia picha hizi
Kikombe hiki ndicho kilitumiwa
Vikombe hivi ndivyo vilivyotumika.
NGELI. UMOJA WINGI
LI-YA. Ndilo Ndiyo
U-ZI. Ndio. Ndizo
I-I. Ndiyo. Ndiyo
U-YA Ndio. Ndiyo
U-U. Ndio. Ndio
YA-YA. Ndiyo. Ndiyo