Kuunda vitenzi kutokana na nomino by
Joab Otieno
6
Nomino ni nini?
Nomino ni neno linalotaja jina la mahali,kiumbe,kitu, au hali.
Taja mifano miwili ya nomino?
Je,kitenzi ni nini?
Kitenzi ni neno ambalo hutumika kutujulisha tendo linalofanyika
Andika mifano ya vitenzi unavyofahamu.
Kutokana na nomino Mlizi tunapata kitenzi kipi?
Nomino Mzazi itatupa kitenzi kipi?
- zaa
Mifano zaidi
Nomino. Kitenzi
◆Mfugaji. Fuga
◆Mfumaji. Fuma
◆Mbatizaji. Batiza
◆Mwigaji. Iga
◆Muuzaji Uza
◆Muudaji. Unda
Mwombezi. Omba
Zoezi
Unda vitenzi kutokana na Nomino hizi.
- Muuguzi
- Mnywaji
- Msusi
- Mjaalizi
- Mpinduzi
- Mjengaji
Majibu
- Ugua
- Nywa
- Suka
- Jaalia
- Pindua
- Jenga