Insha ya picha by
6
Maagizo
Tumia picha zifuatazo na uandike Insha ya kuvutia.
Ni nini unaona katika hii picha?
Miche ya miti
Ni nini wanafanya?
Upanzi wa miti
Umuhimu wa miti.
Wanafanya nini?
Na vitu hivi ni gani?
6
Mada: Mafuriko
Tazama picha zifuatazo
Upepo
Mawingu
Umeme
Mvua
Nyumba
Barabara
Watu
Mito
Wanyama
Mimea
Shule
Kwa kutumia picha ulizotazama andika insha kuhusu mafuriko.
Zingatia yafuatayo....
- Hati nadhifu
- Tumia semi mwafaka
- Uakifishaji bora
- Zingatia maudhui
- Mtiririko uwe mwema