Insha  by  Margaret Nguli

6

Insha ni nini?

Insha ni mtungo ulioandikwa kwa lugha ya mjazo kuhusu kitu, mtu au tukio fulani kwa kueleza ujumbe fulani.

Andika insha Kuhusu faida za miti

Vidokezo Faida za miti

1. Huvuta mvua

2. Makao ya viumbe

3. Huzaa chakula

4. Hujengea

5. Kutengeneza samani

6. Dandalo za umeme na simu

7. Kivuli na dawa

8. Kusafisha hewa

9. Kuni na makaa

 

10. Kuchongea vinyago

 

11.Kuboresha mandhari ya nchi

12. Kutengeneza karatasi



  • 030e143e-9221-4631-a5da-dd8623435f6a by elimu used under CC_BY-SA
  • 1848942e-048e-4f8d-94d0-138086cda23b by elimu used under CC_BY-SA
  • 4b205de3-9e55-48b0-9586-c13d92e76585 by elimu used under CC_BY-SA
  • 670caecb-186c-4496-b251-b5fb7711bb42 by elimu used under CC_BY-SA
  • 702c3bff-2931-4bbe-85b0-d73c3343e55e by elimu used under CC_BY-SA
  • 775b46c3-3cab-4caa-b928-febcb1f7f13e by elimu used under CC_BY-SA
  • 7a0ab125-283e-40d2-aa86-d4be8f8a331f by elimu used under CC_BY-SA
  • 7f5d7a61-539e-4f6b-b9b9-fbc45d5bb0ea by elimu used under CC_BY-SA
  • 89f6a2ca-40c8-4835-affd-059c02c3a23d by elimu used under CC_BY-SA
  • b303919e-a62f-4992-8d80-0d4c47fed7de by elimu used under CC_BY-SA
  • c40055d3-6145-48c8-9c9c-18f8c3166526 by elimu used under CC_BY-SA
  • dcbbfc2a-0926-4fc8-8192-968f9a6b43b0 by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.