Vikembe  by  Pius Mungai

6

Vikembe ni nini?

Vikembe ni vitoto au vizawa vya viumbe mbalimbali.

Tazama picha zifuatazo.....

Soma jedwali hili

 

Kiumbe.                  Kikembe
  • Mbwa                      kibwa

 

  • Paka                      kipusi

 

  • Papa                    kinengwe

 

  • Nzi                          buu

 

  • Bata                       kiyoyo

Jibu maswali katika zoezi lifuatalo

  1. Kikembe cha simba huitwa?
  2. Kikembe cha nzi ni?
  3. Kitungule ni kikembe cha?
  4. Kikembe cha kipepeo ni?
  5. kihongwe ni mtoto wa?

Majibu ya zoezi

  • Shibli
  • Buu
  • Sungura
  • Kiwavi
  • Punda

 

 

 

 

 



  • 554be12e-e343-4306-b627-e9e514d3ad30 by elimu used under CC_BY-SA
  • 5d37cbdd-4f52-48f1-831f-8918d60170f8 by elimu used under CC_BY-SA
  • 5ddb763d-01ee-4b79-9a60-5ac4dc4cce84 by elimu used under CC_BY-SA
  • 66f4c515-8bf4-4660-bf55-8424645b213e by elimu used under CC_BY-SA
  • e1e515c0-f169-413d-a1b3-8660180524ba by elimu used under CC_BY-SA
  • e51e1ab5-d15f-407e-9d7c-63c6cb7d69ef by elimu used under CC_BY-SA
  • f8dfdbb7-8291-4e71-a0b5-0e33618760a9 by elimu used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.