Alama za barabarani by
Joab Otieno
6
Barabarani ni wapi?
Njia Pana na ndefu ipitayo magari,pikipiki,watu na vyombo vingine vya usafiri wa nchi kavu.
Alama za barabarani zina umuhimu gani?
Upuuzaji wa alama za barabarani Mara kwa Mara husababisha nini?
Ni muhimu basi sisi sote tutilie maanani alama hizi:
Taa za barabarani:
Rangi nyekundu-dereva asimamishe gari.
Rangi ya kaharabu. Dereva awe tayari kuondoka.
Rangi ya kijani. Dereva aondoke iwapo njia ni wazi.
Mtembeaji anastahili kuvuka barabara aonapo rangi ya kijani. Hata hivyo sharti ahakikishe barabara ni wazi.
Kivukomilia
Sehemu iliyochorwa mistari mieupe na ndiyo rasmi ya kuvukia barabara
Alama zingine ni kama:
Hakuna njia ya kuingia
Hakuna njia ya kuingia
Watembeaji wa miguu wamekatazwa
Hakuna kungeuka upande wa kulia
Usipite gari jingine
6
Watoto wanaweza kuwa wakipita.
Mzunguko wa barabarani.
Pana matuta ya barabarani.
Pana hatari fulani mbele.
zoezi
Alama hizi zinaashiria nini?
Majibu
Ng'ombe wanaweza kuwa wakipita.
Usiegeshe gari lako.