Wizara mbalimbali
- Wizara ni idara kuu ya serikali inayosimamia na kushughulikia maswala au mambo ya nchi au ya kitaifa kwa kuongozwa na waziri.
- Wizara mbalili katika nchi yetu.
- Wizara ya fedha.
- Wizara ya Elimu, Sayansi and Tecknologia.
- Wizara ya Mambo ya Nyumbani na Maswala ya Jamii.
- Wizara ya Barabara na Ujenzi
- Wizara ya Afya
- Wizara ya Mambo ya Nchi za Kigeni.
- Wizara ya Utawala wa Mikoa na Usalama wa Taifa.
- Wizara ya serikali na Mitaa
- Wizara ya Kilimo.
- Wizara ya Habari na Mawasiliano.
- Wizara ya Mipango na Maendeleo ya Taifa.
- Wizara ya Leba na Ustawi wa Wafanyakazi.
- Wizara ya Mazingira na Maliasili.
- Wizara ya Maendeleo ya Ushirika.
- Wizara ya Maswala ya Jinsia, Michezo,Huduma za Jamii na Utamaduni.
- Wizara ya Nishati.
- Wizara ya Uchukuzi.
- Wizara ya Ustawi wa Maji.
- Wizara ya Ardhi na Makao.
- Wizara ya Maendeleo ya Mikoa
- Wizara ya Turathi za Kitaifa.
- Wizara ya Biashara na Viwanda.
- Wizara ya Ushirikiano wa Kanda ya Afrika Mashariki.
- Wizara ya Mifungo na Ustawi wa Uvuvi.