Herufi kubwa

Matumizi ya herufi kubwa:

  • Mwanzoni mwa sentensi.
  • Mwanzoni mwa nomino kama vile:

Nomino za kipekee za mahali:

Nairobi, Uganda.

Majina ya watu:

Rosa, Johana

Siku za wiki:

Jumatatu, Ijumaa

Sikukuu:

Krismasi, Madaraka

Mitaa:

Rongai, Ofafa

Vitabu na majarida:

Kiswahili Teule, Taifa Leo.

 Lugha:

Kiswahili, Kifaransa.

Dini:

Kiislamu, Kikristo.

Vyeo:

Daktari, Profesa

Majina ya watu:

Fatuma, Hamisi. 

Mwanzoni mwa mishororo ya ubeti wa shairi.

Wandani ‘takulilia, wajifanye pete chanda

Popote ‘takufwatia, kama nzi ‘takuganda

Magego kukutolea, kwa sababu unapanda

Mwenyewe ‘tajionea, ukiushuka mganda



  • Artificial-Christmas-Tree by Celt College used under CC_BY-SA
  • herufi_1 by eLimu used under CC_BY-SA
  • herufi_2 by Various sources used under CC_BY-SA
  • herufi_3 by eLimu used under CC_BY-SA
  • herufi_4 by eLimu used under CC_BY-SA
  • herufi_6 by Taifa Leo used under CC_BY-SA
  • heruf_7 by Liberty Voice used under CC_BY-SA

  • Creative Commons License
    All work unless implicitly stated is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0 International License.