Mkwaju 
							
								
							
								Mkwaju ( / ) 

Pia huitwa mkato.
Hutumika:
- Kutenga vibadala vya maneno.yaani badala ya maneno kama vile ‘au’, ‘ama’, ‘kwa’, ‘na’ k.m Wa z e e/v i j a n a wamealikwa. Ninunulie mkate/kaimati na chai/m a z i w a .
- Kutenga nambari au tarakimu.
    - Tarehe k.m 7/6/2006
    - Namba za kumbukumbu za mkutano Kumb. 1/2006