Kivumishi -ngine na kirejelei
Ili kuelewa kivumishi –ngine na kirejelei, sharti uelewe mambo mawili:
- matumizi ya kivumishi –ngine katika kila ngeli.
- matumizi ya kiwakilishi amba– katika ngeli.
Matumizi yatakayokuelekeza kuelewa ‘o’ rejeshi. ‘O’ rejeshi hiyo ndiyo itakayotumika pamoja na -ngine.