Kirejelei 'o' cha tamati  
							
								
							
								Kirejelei •o• cha tamati (mwisho) 
Kirejelei ‘o’ hutumika mwishoni mwa kiarifu (kitenzi) katika wakati wa mazoea. Ziangalie sentensi zifuatazo.
-  Mtoto ambaye hujitahidi hufua dafu (kiwakilishi amba-) Mtoto ajitahidiye hufua dafu. (kirejelei ‘o’)

-  Kitabu ambacho hutumiwa hukikanganyi (kiwakilishi amba) Kitabu kitumiwachohakikanganyi.(kirejelei ‘o’)
