'enye' na 'o' rejeshi 
							
								
							
								-enye na •o• rejeshi 
Tayari tumeona kuwa kivumishi – enye hutumika kuonyeshea hali ya kumiliki. Aidha ‘ o ’ rejeshi vilevile inaweza kutumika kuonyeshea hali ya kumiliki. Iangalie mifano ifuatayo:
- Mtoto mwenye ndizi mkononi.

-  Mtoto aliye na ndizi mkononi.
