Nge - na–ngali - hutumika kuonyeshea
a– ngali zinapotumika, huonyesha kuwa
ukiaji wa jambo moja hutegemea utukiajia lile jingine.
Muhimu
Kwa hivyo ni makosa kutumia –nge- na
–ngali- katika sentensi moja.
Katika hali ya kukubali, inaeleweka
kuwa jambo halikutokea na kwa hivyo basi,
hakukuwa na matokeo.
k.m. Ningekuona ningekuita MAANA YAKE:
Sikukuona na kwa hivyo sikukuita.
– ngali - ni – singali - .
Katika hali ya ukanushaji, inaeleweka
kuwa palikuwa na tukio na kwa hivyo basi
matokeo fulani.
k.m. Nisingekuona nisigekuita . MAANA
YAKE: Nilikuona na hivyo basi nikakuita.
Muhimu
Kamwe –nge-na –ngali hazikanushwi kwa ha-, ila kwa – s i - Unapokanusha, hakikisha kuweka kiambishi cha nafsi au mtendaji k.m. Nisingefika mapema wala sio singefika mapema.